Mteja ananunua bidhaa dukani → Anapokea risiti yenye QR Code → Anascan QR kwa simu yake ili kupata zawadi papo hapo!
Mnunuzi anascan risiti ili kupata zawadi yake papo hapo! Mfumo unathibitisha risiti na kutoa zawadi moja kwa moja.
Nunua → Pata Risiti → Scan QR → Pata Zawadi Papo Hapo!